Breaking

Wednesday 10 August 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: FURSA ZA KIUCHUMI ZINAZOPATIKANA BARA LA ULAYA


kushiriki mkutano moja kwa moja bofya link hii👉🏻 https://bit.ly/3blWTkR

Tazama live

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

 Au kupitia

Meeting ID: 865 3457 1971

Passcode: 651869

Mada; Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana Bara la Ulaya

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages