Breaking

Tuesday 16 August 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: TATHMINI, MATARAJIO YA WADAU WA SOKA JUU YA USAJILI WA WACHEZAJI KWA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU NBC 2022/23

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika leo Agosti 16, 2022 (Jumanne) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Tazama HAPA CHINI 

 
Mada:Tathmini na Matarajio ya wadau wa Soka juu ya mwenendo wa usajili wa wachezaji kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.

Shiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3zQpSVU

Au kupitia
Meeting ID: 810 4018 2983
Passcode: 574809

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages