Breaking

Monday, 1 August 2022

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1, 2022 amemteua Bi.Zakhia Hamdan Meghji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa kipindi cha pili.

Pages