Breaking

Wednesday, 14 December 2022

BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL NI LEO UWANJA WA UJAMAA RUFIJI, HII HAPA LIST YA WASANII
Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Rufiji chini ya Mheshimiwa Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa inakuletea Bibi Titi Memorial Festival kuanzia Desemba 14 hadi 15,2022 katika Uwanja wa Ujamaa Rufiji.
Pages