Breaking

Friday 17 February 2023

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MADINI KIGOMA

L

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa leo Februari 17, 2023 amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye kuhusu shughuli mbalimbali za uchimbaji wa madini zinazofanyika katika mkoa huo.


Aidha, Dkt. KIRUSWA amepokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Kigoma, Mhandisi Pius Lobe kwa miaka ya Fedha 2020/2021, 2021/2022 na 2022/2023.


Dkt. Kiruswa ameanza ziara ya kikazi Mkoani KIGOMA ambapo anatajia kutembelea shughuli mbalimbali za uchimbaji madini zinazofanyika katika mkoa huo.


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages