Breaking

Tuesday 4 July 2023

VIONGOZI KITAIFA AKIWEMO KIKWETE, KINANA WASHIRIKI UZINDUZI WA MSIKITI WA TAQWA MKOANI RUVUMA

Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana, Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa, Mstaafu Rashid Othuman, Naibu Kadhi Sheikh, Mkonyogole na Mkurugenzi Mtendaji wa Camel Oil, Edha Nahdi wakiwa katika picha baada ya kushiriki uzinduzi wa msikiti mkubwa wa Taqwa kwenye Manispaa ya mjini hapa uliojengwa na mzawa wa mkoa wa Ruvuma Ramia Yassin, mwishoni mwa wiki.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages