Breaking

Wednesday 23 August 2023

KILA MWANAUME NIKIMKUBALIA ANANIACHA





African Doctors wanatatua shida mbalimbali ambazo tunakutana nazo kila siku kama kumrudisha mpenzi wako, kupata mtoto, kusafirisha nyota yako, kupàndishwa cheo kazini, kupata kazi, kushinda michezo ya bahati nasibu, kumfunga mume au mke asiende nje ya ndoa na kutambua kuwa mwenzako anakusaliti au hapana kwa muda wa saa 24.

Pia African Doctors wanatibu magonjwa kama Sukari, Pressure na dawa ya nguvu za kiume, wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Jina langu naitwa Serina, umri wa miaka 26, mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia, shida yangu kubwa ambayo imenifanya niandike ujumbe huu nahitaji kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa muda mrefu sana.

Shida kubwa ni tangu nikiwa na miaka 17, kila nikiwa na uhusiano na mwanaume yeyote tunapendana kwa muda mchache sana na kuniacha bila mimi kujua wapi nimemkwaza.

Hali hiyo imenitokea kwa wanaume wengi sana ila mimi sikujali nikidhani mwanaume ndiye mwenye tatizo au anakuwa siyo chaguo ambalo Mungu amenipangia.

Nilipofikisha miaka 23 nikahitaji mwanaume ambaye nitaweza kufunga naye pingu za maisha kwa sababu nilikuwa nimeshahitimu Chuo, hivyo nilihitaji mtu wa maisha japo bahati yangu kubwa nilikuwa natangozwa kila mara ila naachwa bila kujua wapi nakosea kila mara.

Siku moja nilienda kumtembelea shangazi yangu mkoa wa Tabora ili niweze badilisha mazingira ya nyumbani maana nilikuwa nimechoka kukaa home. Nilifika salama na kupokelewa na mtoto wa Shangazi yangu Leaha.

Leaha alikuwa na umri kama wangu, hivyo tuliweza badilishana story mbalimbali kuhusu wanaume hata vitu vingine kuhusu maisha.

Watu wengi mtaani walihisi kuwa mimi na Leaha ni mapacha kutokana na kufanana sana pamoja na jinsi tulivyokuwa tunapendana. Nikiwa nimemaliza siku saba tu nikiwa mkoa wa Tabora nikatongozwa na kijana mmoja anaitwa Sharifu.

Kwa mtazamo wa haraka Sharifu alikuwa ni kijana mwenye sifa ambazo mimi napenda mwanaume kuwa nazo japo sikuweza kumbukalia nikihofia yale yaliyonitokea kwa wanaume wa kwanza.

Siku zinazidi kusogea na Sharifu bado anaomba nimkubalie ili tuweze anzisha family wote wawili, pia pesa ananipatia kila ninapohitaji bila kusita hata mtaani wanamsifu kuwa ni kijana mzuri, hana sifa yoyote mbaya mtaani hata Shangazi anamjua kwa sasa ila mimi sijamkubali.

Nahitaji ushauri kwa yoyote atakayeweza soma story yangu maana sijui kipi nifanye, Sharifu nampenda ila naogopa nikishaingia katika uhusiano naye, tunaweza kuachana ndani ya muda mfupi tu.

Mwisho.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages