Breaking

Monday 18 September 2023

WALIONIIBIA CAMERA WAKUTANA NA MAMBO YA AJABU



Kuchukua mali ama kitu cha mtu mwingine huwa ni jambo ambalo hukiuka kanuni za jamii haswa katika mila na desturi za kiafrika. Licha ya kuwa mwiko, hilo halikuwazuia vijana watano niliokumbana nao siku moja nilipokuwa natoka kazini kunipora na kukimbia na kamera ya kampuni ya uandishi amabayo nilikuwa nimetwikwa jukumu la kuitunza.

Usiku huo nilitembea pole pole gizani na baada tu ya kufika katika barabara ya njia panda katika eneo la Kayole nilipigwa na kitu kwenye kifua changu na hapo nikajipata hospitalini.

Ama kwa hakika mtaa wa Kayole ulijulikana kuwa na vijana ambao hawana maadili, wiki haikuisha bila ya taarifa za kijana mmoja kuwa ameuwawa na Polisi kwa kupatikana katika shughuli za wizi. Walijiingiza katika magennge ambapo waliwaibia wakazi wa mtaa ule kila mara.

Baada ya kupata nafuu, nilitoka hospitalini na punde niliporejea kazini nilipigwa na butwa kwani nilipata barua ya kufutwa kazi na kampuni niliyokuwa naifanyia kazi. Kulingana na barua ile walisema kwamba hawakuniamini na kuwa walikuwa na ushahidi tosha nilikuwa nimeiuza kamera ile.

Nilianza kukumbwa na msomgo wa mawazo kwa kuwa sikuwa na mahali pengine pa kupata kipato cha kila siku, isitoshe nilikuwa na familia na wote walinitegemea katika hali. Vidonda vya tumbo vilifuatia kwani sikujua ningeanzia wapi wala ningemalizia wapi, marafiki wote walinitoroka huku wazazi wangu wakinitenga.

Mke wangu pia alinitoroka kwani alikuwa ameambiwa uongo kutoka kwa marafiki zangu kwamba nililikuwa nimeiuza kamera ile na kuwa nilikuwa mtu ambaye sikuwa mwaminifu. Hali hii ilinifanya kuwa na upweke suala ambalo nilichanganyikiwa ningesuluhisha vipi.

Nilianza kupata nafuu baada ya rafiki yangu Silas kunielekeza kwa daktari maarufu wa miti shamba aliyefahamika kama African Doctor aliyeishi mjini Kericho. Hapo tulifunga safari hadi mjini Kericho kwa ajili ya usaidizi.

Nilishughulikiwa na African Doctor na akanipa hakikisho kwamba ningepata kamera ile na pia ningerejea kazini punde tu na ningeirudisha kamera ile.

Nilirejea kwenye mtaa wa Kayole na baada ya siku tatu niliyaona maajabu, vijana watano walifika pahali nilipokuwa naishi huku wakila mchanga na kuomba msamaha.

Walikuwa wameibeba kamera ile na hapo ilikuwa ishara tosha kwamba African Doctor alikuwa ni mtu wa kusaidia watu, nilimpigia simu kumuelezea habari njema na hapo akaamrisha vijana wale walipe Ksh10,000 kila mmoja ile waweze kupata nafuu.

Siku iliyofuatia nilibeba kamera ile hadi kwenye kampuni niliyokuwa nikifanya kazi, hawakutarajia kwamba kamera ile ya thamani kubwa ingerejea kwani walidhani kuwa nilikuwa nishaiuza. Mkuu wa kitengo cha uandishi alinipongeza kwa juhudi zangu za kuirejesha kamera ile kwa sababu ilikuwa imewagharimu fedha nyingi.

Baada ya siku tatu niliporejea nyumbani nilipata ujumbe kwenye barua pepe kwamba nilikuwa tayari huru kurejea kazini, ama kwa hakika African Doctor ni mtu wa kutegemewa kwa wakati wowote.

African Doctor ana uwezo wa kutibu maradhi kama vile msukumo wa damu, kifaduro, kifua kikuu na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Anakuwezesha pia kuimarisha biashara yako inayoonekana kama inaenda chini. Anawapa watu kama wahubiri nguvu za kuita waumini wengi zaidi katika huduma zao.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Mwisho.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages