Breaking

Wednesday 15 May 2024

MABORESHO HUDUMA YA MAJI MBEZI BEACH




Kazi ya kudhibiti upotevu wa maji katika bomba la inchi 8 inaendelea kutekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika eneo la Mbezi Goigi

Kukamilika kwa kazi hiyo itasaidia kurejesha na kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya Afrikana, Juliana,NSSF,Makonde, Tank Bovu, Flamingo, Louvent, Kwa Kakobe, Mtaa wa Hekima, Kwa Malechela, BOT, Rungwe, Efm, St. Aloysius, Art Gallery, Kwa Kasulu, Shabaha, Kwa Lukuvi, Liberman, Shoppers,Oasis, Mtaa wa Almas, Kidimbwi, Rainbow,Kwa Zena na White Sand
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages