Breaking

Wednesday 15 May 2024

USOMAJI MITA SHIRIKISHI UNAENDELEA KINONDONI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la usomaji mita za Maji kwa kushirikiana na wateja ambapo watumishi wa Mkoa wa kihuduma Kinondoni wanatekeleza zoezi hilo kwa vitendo.

DAWASA inatoa rai kwa wateja wote wa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kutoa ushirikiano kwa watumishi pindi wanapopita katika makazi yenu wakati wa zoezi hilo likiendelea.

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja namba 0800110064 (Bure) na 0735 202 121 (WhatsApp tu).
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages