Breaking

Thursday 9 May 2024

UWASILISHAJI BAJETI YA WIZARA YA MAJIWaziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) akisalimiana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kabla ya kuanza kwa mawasilisho ya hotuba ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2024/2025 Bungeni Jijini Dodoma.Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages