Usomaji mita za Maji shirikishi kati ya Mamlaka na Mteja unaendelea kutekelezwa katika maeneo na mitaa mbalimbali katika Mkoa wa kihuduma DAWASA Tabata
DAWASA inatoa rai kwa Wateja wote kutoa ushirikiano kwa wasoma mita wanaopita katika makazi ya watu na zoezi litakamilika Mei 20, 2024.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja namba 0800110064 (Bure) na 0735-202121 WhatsApp tu.