Breaking

Wednesday, 24 July 2024

MR. MANGURUWE APAGAWA, ATANGAZA KUWALA SUPU 'NGURUWE ZAWADI' WA KIBU DENIS

Mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe nchini Tanzania MR MANGURUWE ametangaza kuwachinja na kuwanywa Supu Nguruwe wote wa aliyekuwa Mchezaji Kibu Denis aliokuwa amempa kama zawadi baada ya kuisadia timu ya Simba SC kupata matokeo katika msimu uliopita. Maamuzi haya ya MR Manguruwe yamekuja baada ya Mchezaji huyo kuikimbia timu hiyo.

TAZAMA VIDEO HAPA

@malundeblog

♬ original sound - Malunde

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages