Breaking

Sunday, 11 May 2025

BARRICK YAWEZESHA WANAFUNZI MZUMBE KUPATIWA UTAMBUZI WA FURSA KUPITIA KONGAMANO LILILOANDALIWA NA AIESEC


Afisa Rasilimali Mwandamizi wa Barrick nchini Emmanuel Msacky,akiongea na Wanafunzi katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC Afisa Rasilimali Mwandamizi wa Barrick nchini Emmanuel Msacky,akiongea na Wanafunzi katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC

Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC
Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC
Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC
Wafanyakazi wa Barrick katika hafla hiyo


***
Wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Morogoro wamepata fursa ya kupata elimu ya kuchangamkia fursa za kupata mafanikio kupitia elimu yao katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC.


Katika kongamano hilo la aina yake,lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa udhamini wa kampuni ya Barrick nchini, wanafunzi waliweza kujua kwa undani shughuli za makampuni mbalimbali makubwa ya kibiashara nchini na jinsi ya kutafuta fursa ya kujiunga nayo pindi wamalizapo masomo yao ya elimu ya juu.


Wanafunzi pia walijengewa uwezo kutoka kwa wafanyakazi wa Barrick na taasisi nyinginezo kuhusiana na jinsi ya kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza,kujiamini na jinsi ya kujiajiiri na kutengeneza fursa za ajira.

Afisa Rasilimali Mwandamizi wa Barrick nchini Emmanuel Msacky,akiongea na Wanafunzi katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC
Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages