Breaking

Tuesday 21 June 2022

BRELA YAENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABISHARA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA


Maafisa wa wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wakiendelea  kutoa elimu, ufafanuzi na utatuzi wa changamoto mbalimbali za urasimishaji , katika Ofisi za BRELA Makao Makuu, zilizopo katika makutano ya mtaa wa Shaban Robert na barabara ya Sokoine Jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma  yalianza tarehe 16 Juni, 2022  na yatahitishwa rasmi tarehe 23 Juni, 2022. Nyote mnakaribishwa.





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages