Breaking

Tuesday 28 June 2022

MJUE ZAIDI KOCHA MPYA WA SIMBA SCSimba SC immetangaza Zoran Manojlovic "Zoran Maki"raia wa Serbia kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukua nafasi ya Pablo Franco aliyeachana na timu hiyo baada ya kutotimiza malengo ya timu hiyo kwa msimu huu.


Mserbia ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika ambapo amewahi kupita kwenye za Primeiro De Agosto ya Angola, Waydad Casablanca ya Morocco, CR Belouizdad ya Algeria na Al Hilal Omdurman ya Sudan.


Zoran mwenye miaka 59 kazi yake ya mwisho alikuwa akiifundisha Al Tai inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia.


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages