Breaking

Monday 4 July 2022

LIVE: RAIS SAMIA AKISHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) KIPANDE CHA TABORA/ISAKA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kakishiriki atika Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Sehemu ya Tabora hadi Isaka, Km 165 njia Kuu na Km 35 njia za Kupishana katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dares Salaam tarehe 04 Julai, 2022.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages