Breaking

Monday 4 July 2022

MORRISON AREJEA YANGA KWA MBWEMBWE TAZAMA HAPA



Na Samir Salum, Lango la habari

Club ya Yanga SC imetangaza rasmi kurejea kwa Staa wao wa zamani Bernard Morrison Raia wa Ghana baada ya kumaliza mkataba wake na Simba SC.

Morrison ametambulishwa kurejea kwake usiku wa Kuamkia leo Jumatatu Julai 04,2022 licha ya kuwa Yanga hawajaweka wazi Morrison amesaini mkataba wa muda gani katika Club hiyo.

Awali Morrison Alihudumu katika Club ya Yanga kwa miezi 6 kabla ya kutimkia Simba Sc ambapo amekipiga kwa miaka miwili.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages