Breaking

Thursday 13 July 2023

WIZARA YA MADINI YASHINDA TUZO KIPENGELE CHA NISHATI, MADINI



Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini imeibuka Mshindi Namba 1 katika kipengele cha Nishati na Madini kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Sabasaba

Asanteni sana wananchi na wadau wote wa Sekta ya Madini mliotembelea katika banda la MADINI PAVILION kujifunza, kuona na kusikiliza.

















#Tanzania Mahali Sahihi Pa Biashara na Uwekezaji.






#Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu. kujifunza, kuona na kusikiliza.




#Tanzania Mahali

Sahihi Pa Biashara na Uwekezaji.




#Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu.




#GST #STAMICO #TUME YA MADINI #TGC# TEITI, CHAMBER OF MINES #MAMBA MINERALS #GGM

#JITEGEMEE HOLDING, #YAYA RESOURCES #ESAP LIMITED # NKONYA INVESTMENT

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages