Breaking

Wednesday 14 February 2024

KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi mahitaji ya kibinadamu kwa kituo cha kulea watoto yatima cha KIJIJI CHA FURAHA kilichopo eneo la Mbweni Mwisho, Kata ya Mbweni Wilaya ya Kinondoni.

Mahitaji hayo yaliyotolewa ni sehemu ya jitihada za Mamlaka katika kutambua na kujali uwepo na umuhimu wa makundi haya maalum kwenye

DAWASA imekuwa ikichangia jamii zenye uhitaji kwa kutambua umuhimu wa huduma yake katika maisha ya binadamu.





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages