Breaking

Tuesday 15 November 2022

DKT. BITEKO AWAPA MAAGIZO MAZITO TUME YA MADINI JUU YA MAKAA YA MAWE

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ametoa Miezi Mitatu kwa Tume ya Madini Kuhakiki Leseni za Makaa ya Mawe Zisizoendelezwa.


Waziri Dkt. Biteko ametoa maagizo hayo leo Novemba 15, 2022 wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa Madini ya Makaa ya Mawe uliofanyika katika ukumbi wa Kanisa katoliki Bombambili - Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages