Showing posts with label MATUKIO. Show all posts
Showing posts with label MATUKIO. Show all posts
Tuesday 31 January 2023
WANNE WATUPWA JELA MIAKA 120
Lango la Habari
January 31, 2023
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kukahakikisha linakomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
MWALIMU MSTAAFU MAHAKAMANI KWA KUTOA RUSHWA
Lango la Habari
January 31, 2023
Na Lucas Raphael,Tabora TAASISIS ya kuzuia na kupambana na Rushwa wilaya ya Igunga mkoani Tabora imefikisha mahakamani mwalimu mstahafu aliy...
Monday 30 January 2023
AMUUA MKE WAKE KWA JEMBE AKIMTUHU KUCHEPUKA
Lango la Habari
January 30, 2023
Polisi katika eneo la Navakholo, kaunti ya Kakamega wanachunguza kisa ambapo mwanamume mwenye umri wa miaka 67, anadaiwa kumuua mkewe mweny...
Sunday 29 January 2023
WANAFUNZI WALIOMDHALILISHA MWANAFUNZI WA CDTI WAKAMATWA
Lango la Habari
January 29, 2023
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya...
Saturday 28 January 2023
MWANAMKE AMPIGA MUMEWE NA KUCHOMA NYUMBA KISA KAOA MKE WA PILI
Lango la Habari
January 28, 2023
Polisi katika kaunti ya Kakamega nchini Kenya wamemkamata mwanamke mmoja anayedaiwa kumshambulia mume wake kabla ya kuteketeza nyumba yake ...
WATU 165 WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA WIZI, UBAKAJI NA MAUAJI
Lango la Habari
January 28, 2023
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 165 wakiwemo wa makosa ya wizi, ubakaji, mauaji na kukutwa na bidhaa za mag...
Friday 27 January 2023
MZEE WA MIAKA 71 AFIA LODGE AKIWA NA BINTI WA MIAKA 22
Lango la Habari
January 27, 2023
Polisi wanachunguza kisa ambapo mwanamume mmoja wa miaka 71 ambaye ameaga dunia kwenye lojingi akiwa na binti wa umri wa miaka 22 mtaani Par...
ATUHUMIWA KULAWITI WANAFUNZI 18 KILIMANJARO
Lango la Habari
January 27, 2023
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa kijiji cha Komela, wilayani Moshi mkoani hapa, Shukuru Nguma kwa tuhuma za kuwalaw...
Thursday 26 January 2023
JESHI LA POLISI LATOA UFAFANUZI TAARIFA YA TISHIO LA UGAIDI
Lango la Habari
January 26, 2023
Jeshi la Polisi nchini imetoa ufafanuzi wa taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii kutoka ubalozi wa Marekani ikionyesha kuwa na uwez...
MGANGA AJINYONGA KISA MKEWE KUOLEWA NA MWANAUME MWINGINE
Lango la Habari
January 26, 2023
Polisi nchini Uganda wanachunguza kisa ambapo daktari wa kienyeji katika Wilaya ya Butaleja alijitoa uhai baada ya mke wake kuolewa na mwana...
Wednesday 25 January 2023
MWALIMU ALIYEONEKANA AKIWAKANYAGA MIGUU NA KUCHAPA VIBOKO WANAFUNZI ASIMAMISHWA KAZI
Lango la Habari
January 25, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila ametoa ufafanuzi kuwa Mwalimu aliyeonekana katika video akipiga mwanafunzi viboko,yupo Wilaya y...
Tuesday 24 January 2023
WATUHUMIWA WAWILI WAKAMATWA NA SAMAKI KILO 980 WALIOVULIWA KWA BARUTI
Lango la Habari
January 24, 2023
Na Lango La Habari Jeshi la Polisi Kikosi cha Wanamaji Dar es salaam kwa kushirikiana na Wizara ya Uvuvi na Mifugo wamefanikiwa kukamata w...
POLISI ANAYEDAIWA KUMJERUHI MWANAE KWA VIBOKO AKAMATWA
Lango la Habari
January 24, 2023
Picha na SimiyiPress Na lango la habari Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia Askari Polisi PC Abati Benedicto Nkalango ambaye anatuhu...
KATEKISTA ATUHUMIWA KUMBAKA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU
Lango la Habari
January 24, 2023
Katekista wa kanisa la Roman Catholic parokia ya Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe, Simon Njavike (43) amepandishwa kizimbani katika ma...
POLISI WAUA MAJAMBAZI WAWILI KAGERA
Lango la Habari
January 24, 2023
JESHI la Polisi mkoani Kagera limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi katika Kijiji cha Kumunazi wilayani Ngara mkoani humo. Ka...
Monday 23 January 2023
AUWA WATU 10, AJERUHI 10 KISHA AJIUA
Lango la Habari
January 23, 2023
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 72 nchini Marekani, amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kutekeleza mauaji ya watu 10 na kujeruhi wengin...
Friday 20 January 2023
HUYU HAPA CHURA MKUBWA ZAIDI DUNIANI, ANA KILO 2.7
Lango la Habari
January 20, 2023
Chura mkubwa zaidi ambaye maofisa wa wanyama-pori walifikiri ni bandia amepatikana katika msitu wa mvua kaskazini mwa Australia. Chura huyo ...
MTOTO AKUTWA AKINYONYA TITI LA MAMA YAKE ALIYEUAWA
Lango la Habari
January 20, 2023
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja amekutwa usiku akiendelea kunyonya ziwa la mama yake ambaye anadaiwa kuuawa na mumewe, Jeshi la Polisi mkoa...
Thursday 19 January 2023
ALIYETUHUMIWA KUMUUA MFANYAKAZI WA TANESCO NAYE AUAWA
Lango la Habari
January 19, 2023
Polisi Mkoa wa Songwe imesema mtu anayedaiwa kumuua kikatili mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Angela Shekinyau (33) usiku ...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990