Wednesday 30 November 2022
Tuesday 29 November 2022
DKT. BITEKO ATOA MAAGIZO KIWANDA CHA MBEYA CEMENT
Lango la Habari
November 29, 2022
Kiwanda cha uzalishaji Saruji cha Mbeya Cement Company Limited (MCC) kimeelekezwa kuandaa Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) na kuuwasili...
WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WAWILI KISA UBADHILIFU WA FEDHA, KUKIUKA MAADILI
Lango la Habari
November 29, 2022
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri nchini kuongeza umakini katika manunuzi ya vifaa vinavyotumika katika utekelezaji wa mirad...
WATENDAJI, WADAU WA MICHEZO WATAKIWA KUBADILIKA KUIWEZESHA TANZANIA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA
Lango la Habari
November 29, 2022
Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji na wadau wa michezo nchini kubadili fikr...
WAZIRI MKUU AWATAKA DAWASA KUTAFUTA VYANZO VIPYA VYA MAJI
Lango la Habari
November 29, 2022
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipy...
AJALI YAUA WATATU, YAJERUHI MMOJA SINGIDA
Lango la Habari
November 29, 2022
Watu watatu wamefariki dunia baada ya kupata ajali katika Kijiji cha Kitopeni Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida, huku mm...
WANANCHI KENYA WALIA NA UHABA WA CONDOM
Lango la Habari
November 29, 2022
Wasiwasi unashuhudiwa katika Kaunti ya Bungoma kufuatia uhaba wa mipira ya ngono - uhaba ambao umekumba kaunti hiyo ya ukanda wa Magharibi k...
BABA AMNAJISI MWANAE WA MIAKA 10 HOSPITALINI
Lango la Habari
November 29, 2022
Polisi katika Kaunti ya Kakamega wamemkamata mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 40 kwa tuhumza za kumnajisi binti yake mwenye umri wa miak...
Monday 28 November 2022
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990