Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
Sunday 5 March 2023
Saturday 4 March 2023
WANANCHI WAISHIO PEMBEZONI MWA VYANZO VYA MAJI KIBAHA WAPATA ELIMU
Lango la Habari
March 04, 2023
Na Fredy Mshiu Wananchi wa Kijiji Cha Minazi Mikinda Kitongoji cha Lubungo Wilaya ya Kibaha Vijijini wameelimishwa juu ya umuhimu wa utunza...
Friday 3 March 2023
Thursday 2 March 2023
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA WATANZANIA WAISHIO AZERBAIJAN
Lango la Habari
March 02, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 02 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na watanzani...
NDEJEMBI ATOA MIEZI MIWILI SHULE YA WASICHANA SINGIDA KUKAMILIKA , AAGIZA TAKUKURU KUFANYA UCHUNGUZI
Lango la Habari
March 02, 2023
OR -TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) ametoa miezi miwili ...
Wednesday 1 March 2023
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO UWANJA WA MKAPA
Lango la Habari
March 01, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuanza haraka ukarabati wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjami...
RC BATILDA AONYA MAKAMPUNI YA TUMBAKU YASIYOLIPA WAKULIMA
Lango la Habari
March 01, 2023
Na Lucas Raphael,Tabora MAKAMPUNI ya wazawa na ya kigeni yanayojishughulisha na ununuzi wa zao la tumbaku Mkoani Tabora yametakiwa kulipa ki...
Thursday 23 February 2023
TUWAOMBEE VIONGOZI, TUHAMASISHE AMANI
Lango la Habari
February 23, 2023
Na Moshi Ndugulile, Shinyanga Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri BAKWATA Mkoa wa Shinyanga Shekh Balilusa Khamis amesema ni wajibu wa viongozi ...
WATAKIWA KUDHIBITINI UVUJISHWAJI WA SIRI, NYARAKA ZA SERIKALI
Lango la Habari
February 23, 2023
Asila Twaha, OR - TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu Mhe. David Silinde amewa...
WATOTO 101,398 TABORA WAANDIKISHWA DARASA LA KWANZA
Lango la Habari
February 23, 2023
Na Lucas Raphael,Tabora MKOA wa Tabora umefanikiwa kuandikisha jumla ya watoto 101,398 wa darasa la kwanza mwaka huu 2023 na kuvuka lengo l...
MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO ZINATUMIKA VIZURI-RC TABORA
Lango la Habari
February 23, 2023
Na Lucas Raphael,Tabora Mkoani wa Tabora umeridhishwa na fedha zanazotolewa na serikali kwa ajili ya kutekelezaji wa miradi mbalimbali y...
WAZIRI KAIRUKI ATOA MAAGIZO SABA KWA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI
Lango la Habari
February 23, 2023
Na Angela Msimbira OR- TAMISEMI WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki ametoa maagi...
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWAHUDUMIA VIZURI WANANCHI
Lango la Habari
February 23, 2023
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amewaasa watumishi wa umma nchini kuw...
Wednesday 22 February 2023
WAZIRI MKUU AFURAHISHWA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA
Lango la Habari
February 22, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema anafurahishwa na mafanikio makubwa ya utekelezwaji wa ujenzi miradi mbalimbali ya maendeleo yanayoonekan...
RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA KWARESMA, ATOA WITO
Lango la Habari
February 22, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan amewatakia Wakristo wote Kwaresma njema. Hayo ni kwa mujibu wa t...
HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO YA UWEKEZAJI
Lango la Habari
February 22, 2023
Na Munir Shemweta, WANMM MOROGORO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha...
DC MBINGA ATOA MAELEKEZO KWA WATENDAJI WA KATA, MAAFISA LISHE
Lango la Habari
February 22, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga amewataka watendaji wa kata na maafisa lishe kushirikiana kuanzisha klabu za lishe katika shule mbalimbali hali ita...
Tuesday 21 February 2023
IGP WAMBURA AWAPA MAELEKEZO RTOs, WAKAGUZI WA MAGARI NA WATAHINI WA UDEREVA
Lango la Habari
February 21, 2023
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura, amefanya kikao na wakuu wa Polisi wa Usalama barabarani wa Mikoa yote Tanzania, wakagu...
ASILIMIA 60 YA WAKAZI KALIUA HAWANA HUDUMA YA MAJI SAFI
Lango la Habari
February 21, 2023
Na Lucas Raphael, Tabora Wananchi kiasi cha asilimia 60 wanaishi katika Wilayani Kaliua, Mkoani Tabora hawajapata huduma ya maji safi na sal...
Monday 20 February 2023
SERIKALI YAJA MWONGOZO WA UPANGAJI MAKAZI NA UJENZI WA NYUMBA VIJIJINI
Lango la Habari
February 20, 2023
Na Munir Shemweta, WANMM MBEYA Ili kuondokana na changamoto za upangaji vijijini, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Ma...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990